Translations | Suras |
KISWAHILI | |
108 - AL - KAWTHAR | |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. | |
1 | Hakika tumekupa kheri nyingi. |
2 | Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi. |
3 | Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu |
ReadTheQuran.org |