Translations Suras
KISWAHILI

109 - AL - KAFIRUN

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.

 
1Sema: Enyi makafiri!
 
2Siabudu mnacho kiabudu;
 
3Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
 
4Wala sitaabudu mnacho abudu.
 
5Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
 
6Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
 
ReadTheQuran.org