Translations | Suras |
KISWAHILI | |
112 - AL - IKHLAS' | |
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. | |
1 | Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. |
2 | Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. |
3 | Hakuzaa wala hakuzaliwa. |
4 | Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. |
ReadTheQuran.org |