111 - AL - MASAD |
| |
|
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
| |
| |
| 1 | Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. |
| |
| 2 | Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. |
| |
| 3 | Atauingia Moto wenye mwako. |
| |
| 4 | Na mkewe, mchukuzi wa kuni, |
| |
| 5 | Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa. |
| |