106 - QURAISH |
|
|
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
|
|
1 | Kwa walivyo zoea Maqureshi, |
|
2 | Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto. |
|
3 | Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii, |
|
4 | Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu. |
|