110 - ANNAS'R |
|
|
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
|
|
1 | Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, |
|
2 | Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, |
|
3 | Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. |
|