109 - AL - KAFIRUN |
|
|
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. |
|
|
1 | Sema: Enyi makafiri! |
|
2 | Siabudu mnacho kiabudu; |
|
3 | Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. |
|
4 | Wala sitaabudu mnacho abudu. |
|
5 | Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. |
|
6 | Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. |
|